MATUMIZI YA LUGHA
1. Tamathali za semi
i.
Tashibiha. “Wakapukutika kama majani ya kiangazi.” Uk 1
ii. Sitiari.
“We mbwa mweusi.” Uk 10
iii. Takriri.
“vikawazoa, vikawazoa… vikawazoa.” Uk 3
iv. Tanakali
sauti. “pwi, pwi, pwi,” uk 18
v. Tafsida.
“Kafa kwa kukanyaga nyaya.” Uk 4
vi.
Mubaalagha. “mtu si mtu, kizuka si kizuka” uk 4
2. Misemo, nahau na
methali
i. Msemo.
“Wembamba wa reli treni inapita.” Uk 7
ii. Msemo.
“Kukimbilia suti na nepi hujavaa.” Uk 28
iii. Methali.
“umeula wa chuya.” Uk 29
iv. Methali.
“shukrani ya Punda ni mateke” uk 19
v. Nahau.
“nimekuvulia kofia” uk 6
3. Picha na taswira
“Dubwana” –ugonjwa wa UKIMWI;
“Nguru” –aina ya Samaki wabaya–amefananishwa na mtu mbaya;
“Kinyago”- Suzi.
No comments:
Post a Comment