KUFAULU NA KUTOKUFAULU KWA MWANDISHI
KUFAULU
Kufaulu katika fani
- Mwandishi
ametumia lugha nyepesi inayoeleweka kwa urahisi.
- Mwandishi
ametumia wahusika ambao wameibeba vizuri dhamira kuu
KUTOKUFAULU
Kutokufaulu katika fani
- Mwandishi
ametumia mandhari ya mjini pekee kana kwamba maambukizi ya virusi vya UKIMWI
yanawakabili watoto waishio mjini tu.
Kutokufaulu katika maudhui
- Ugonjwa wa
UKIMWI huwapata watu wote bila kuzingatia umri. Lakini katika tamthiliya hii,
wanaougua ugonjwa huu ni watoto pekee. Kwa kiasi fulani mwandishi hajafaulu.
Hata hivyo kazi hii ni bora na inastahili pongezi kwa mafunzo
makubwa inayoyatoa katika jamii yetu iliyogubikwa na utandawazi
Naomba unionyesha namna ya kujibu swali la kufaulu na kutofaulu kimaudhui na kifani
ReplyDelete